Tuesday 25 September 2012

Jinsi ya kupima shades

Wakati wa kununua lamp shade mpya, utakutana na shades za kila namna na kila rangi na kila saizi.ila vipimo hivi nitakavyokuonyesha hapa ni vile utavikuta kila mahali ulimwenguni. Hakikisha una rula, kalamu na karatasi wakati wa kununua shades zako ili usije nunua usiyi ihitaji (lol)





Hivi ni vipimo vinne unavyovihitaji kwa ajili ya ununuzi wa shades zako:
A – Upana/mzunguko  wa juu
B – Upana/mzunguko wa chini.
C – Urefu wa pembeni .
D – Urefu wa katikati.  Kama ionekanavyo kwenye picha hapo juu.
Zaidi ya hiyo utatakiwa kujua, aina ya viungio vilivyo ndani ya shade zako na aina ya bulb utakayotumia.


Lamp shades

Lamp shade ni namna moja ya haraka ya kuleta muonekano mpya na fresh ndani ya nyumba yako. unaweza usibadili kitu ndani ya nyumba yako zaidi ya kuweka shades mpya kwenye taa zako za mezani au za kusimama sakafuni au hata za kuning'inia darini na nyumba ikaonekana ni mpya na imependeza kuliko awali.

kuna shades za rangi mbali mbali na shape tofauti tofauti kutegemeana na kupenda kwako na kwa matumizi yako. PS. baadae tutaongelea juu ya aina za shades na matumizi yake.




 Be creative and try something new!

Mwanga ndani ya nyumba

Mwanga ndani ya nyumba ni kitu muhimu sana. Mara nyingi kwa nyumba zetu tulizozozea tuna taa moja tu kubwa juu kwenye dari. Ni kweli inaleta mwanga lakini kwa sisi wapenda mapambo mwanga mzuri na wa aina tofauti ni muhimu sana katika kupendezesha nyumba yako.

picha hii inaonyesha jinsi jikoni kunavyotakiwa kuwa na mwanga mzuri, ukiangalia vizuri utaona madirisha ni makubwa na yenye kupitisha mwanga vizuri lakini pia mpambaji ameongeza pia kwa kuweka nakshi za taa zaidi ya moja ili hata usiku mwanga uwe wa kutosha. katika picha hii utaona pia shades za blue hapo juu, kwenye post yangu itakayofuata nitaongelea kuhusu lamp shades.

Tuesday 22 May 2007

colour therapy

Rangi zimekuwa zikitumiwa kama healing therapy kwa muda mrefu na imekuwa ikijulikana kama chromatherapy au colorology. Inasaidia sana amini usiamini, lakini usiitumie kama tiba m-badala wa matatizo uliyonayo. Itumiwe kama namna fulani ya kuburudisha na kusaidia akili ku relax.




Saturday 19 May 2007

RED

RED inafahamika kwa:VITALITY, ENERGY, COURAGE

Inasaidia:Stimulates brain activity, increases heart rate, respiration and blood pressure, gives energy and self-confidence, it is sometimes know as strength of a woman, don't ask me why...

YELLOW

YELLOW inafahamika kwa :AWARENESS, WISDOM, CLARITY


Inasaidia:Energizes, relieves depression, improves memory, increases awareness, perception and understanding. Also stimulates the appetite. Ukitaka kuwa na kumbukumbu nzuri basi studying room yako iwe yellow, au studying room ya watoto iwe yellow.


Orange

ORANGE inafahamika kwa:HAPPINESS, INDEPENDENCE, CONFIDENCE


Inasaidia :Energizes, stimulates the appetite and digestive system, removes inhibitions, and fosters sociability. Lol sebbule ya bibi kumbe dawa.... hii yafaa kwa dinning room, apetite utawagawia mpaka jirani, ila kwa wale wanaopenda ku keep figure. sijui itakuwaje..



Indigo

INDIGO inafahamika kwa:INTUITION, IMAGINATION, UNDERSTANDING

Inasaidia: Strengthens intuition and imagination, increases dream activity. Helps connect us to our unconscious mind.

Green

GREEN inafahamika kwa :BALANCE, LOVE, PEACE


Inasaidia:Soothing, relaxing mentally as well as physically, helps alleviate depression, nervousness and anxiety, offers a sense of renewal, self-control and harmony.


Blue

BLUE inafahamika kwa :KNOWLEDGE, RELAXATION, HEALTH

Inasaidia: Calming, lowers blood pressure and decreases respiration. Ideal for sleep and over-active children. Enhances communication and decision-making.

Nature

Nature ni muhimu ndani ya nyumba! jaribu kuwa na mimea kiasi ndani ya nyumba, inapendezesha pia. Kama mimea natural inakushinda ku maintain, basi jaribu hata artificial ila chagua yale yanayoendana na ukweli uknow what I mean?? sio ua linachanua ua jeusi au rangi ambayo si halisi kwa maua kuchanua, pia mauna ya kuchanua yawe kiasi tyu ndani ya nyumba, yakizidi huwa ni kero ati.

Kitchen

Hapa ugomvi sitaki mkaa nje.....! na jiko lako la mkaa jenga kibanda nje, hata kwenye coridor NO! moshi utaingia,
Rangi hii inahitaji usafi, baada ya shudhuli zako jikoni unasafisha na kupanga vizuri na ka-ua pembeni safi, hata mgeni akija nyumbani kwako hajiulizi mara mbili kama akikaribishwa kula. Kunan yumba nyingine loh! unatamani kukimbia ukiambiwa karibu kula, pia kwa wenzangu akina dada, jikoni ndio kioo chako, kunaeleza bayana jinsi ulivyo. Kitaalamu tunasema sebuleni ni usoni na jikoni ni mwilini, kama wewe ni muosha uso tu basi tutajua tukiingia jikoni. kale katabia ka kusafisha sebuleni tu na kuacha sehemu nyingine za nyumba (LOL)

Colour washing

Kwa wale wanaopenda rangi za utulivu, mambo ndio kama hivyo, brown inakwenda na grey na light cream, inatoka bomba! though mi sio shabiki wa rangi hii lakini naikubali,hasa ukiipanga sitting room yako vizuri na kuiweka katika hali ya usafi na smart wakati wote, ubaya wa hii rangi usipoweka sitting room yako smart inachuja upesi sana, waweza ichukia!!!
Tips! always changanya na rangi yenye mvuto machoni kama vile white au cream, usitumie rangi za giza pekeyake, chumba kitakuwa na giza, pia usiweke vitu vingi sana kwenye sitting room yako kama vile makabati ya vyombo (lol) hivi kuna watu bado wanaweka sebuleni???.

1970´s

Zile sitting room za kina bibi zimerudi kwenye fashion. Miaka ya 70 katika historia ya design inasemekana ndio ilikuwa moto, design mbali mbali zilianzia miaka hiyo, na utaalamu mwingi juu ya mambo ya interior design ulianzia huko. Ila mnaionaje hiyo sitting room? simple and attractive. I wouldn't mind having a siiting room like this for chillling out with friends on friday evenings

combination.

Angalia jinsi chanikiwiti inavyokwenda sambamba na woodwork, ukiongeza na white kwenye frame za kuta zako si mchezo. Huitaji gharama, ni kununua rangi zako tu, then come back to this space kuna masomo yatakuja jinsi ya kupaka rangi mwenyewe kwa nyumba yako, si kuita fundi baadae mje kubishana tena,,,no no no! enzi zimepita hizo sikuhizi. lol mafundi msinichukie

Thursday 17 May 2007

Chanikiwiti

Angalia jinsi rangi hii inavyovyutia. Na pia nilisikia ni rangi ya mwaka huu, da zeze utanisahihisha kama nimekosea. Angalia jinsi inavyovutia.

Mapambo


Vitabu na magazeti mengi yanakupa namna mbali mbali za kupamba nyumba yako mwishowe unabaki kuchanganyikiwa.
Tips. anza na color, chagua rangi ile inayosuuza moyo wako, au inayoendana na mood au style utakayoichagua.Baada ya hapo ndio sasa uangalie namna gani utaingia kwenye hardest part, iwe ni furniture au chochote unachotaka kubadilisha.
Pichani ni kitu simple tu, ua linalopatikana hata nje ya nyumba yako kwenye bustani, hiyo chupa waweza tumia yoyote tu lakini ya kioo cha kuangaza na isio na maandishi yoyote, (zipo kibao kwenye maduka), note colour ya ukutani. Then nyumba inatoka bab kubwa!!
Najua wengi wetu tumezoea rangi nyeupe tu ndani ya nyumba. It's time to change

Dining room



This is the magic of colour! kabati hilo nina uhakika hata mafundi wetu wa mitaani wanachonga zuri kupita hilo, ila rangi! rangi! rangi!

Dinning room


Need say more?!
Picha inajieleza. angalia na fikiri namna ya kurekebisha dinning room yako. Si gharam akam awengi wanavyofikiri. hata kupaka rangi tu kunasaidia kufanya dining room yako ivutie

Dining room





ceiling


Kurefusha dari.
Dari yako ni fupi na inakukera?! umepata jibu.....
Paint it a shade or two lighter than the walls.
Tip: Install crown molding around the perimeter of the ceiling, and paint it in a darker color than the ceiling. It will help to draw the eye upwards

Rangi


Tip: Use deep, warm colors to make a large, lifeless dining area seem more intimate. Warm colors not only make large rooms appear cozier, but also can help to stimulate the appetite!

Colour


I like this colour! it makes me feel so relaxed and close to nature brown au mahogany ni rangi yenye mvuto wa kipekee kama itatunzwa na kuwekwa katika hali ya usafi. Unaonaje katika hiii picha? mahongany furniture + cream wall paint/paper na taa za ukutani zisizo na mwanga mkali. Sema mwenyewe!!!

Dari






Angalia jinsi rangi mbali mbali zinavyovutia katika dari, hii inasaidia kuufanya ubongo wako kupumzika kila uingiapo katika nyumba/chumba hicho. Bila shaka kila mmoja wetu anapenda kupumzika ipasavyo, sio lazima kwenda hotelini ili akili ipumzike!! lol!! hata nyumba yako inaweza kukupa burudani tosha, kama utaweza kuipangilia ipasavyo.

Dari


Leo tuanze na dari. Dari yako au ceiling ni sehemu ambayo unaiangalia kila siku, hivyo ni lazima iwe na rangi zinazovutia na kupumzisha akili. Kama ni nyumbani basi dari iwe nyeupe chafu (si nyeupe ya kung'aa sana itakuumiza macho), Iwe na rangi ya cream kama itawezekana, hii inasaidia kupumzisha nafsi.

Rangi

unajua kuwa rangi inaweza kufanya maajabu katika nyumba yako??. Rangi inweza kuongeza nafasi katika chumba. Nafasi ndogo kuwa kubwa, pichani ni chumba baada ya kubadilishwa rangi.
semi-gross sheen huwa inatabia ya kuongeza nafasi katika nyumba.

Tip: Use a semi-gloss sheen to visually expand a small kitchen or bathroom. Use a softer sheen, such as satin or eggshell, in bedrooms (these are especially great for kid's rooms) and living areas to offer a more subtle finish.